Akina baba hebu tutafakari ujumbe huu kwa makini...
Somo la 4: Nafasi ya Biblia
-
*Somo la 4: Nafasi ya Biblia*
*(Zaburi 19, Mithali 30, Mathayo 7)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2026, Bruce N. Cameron, J.D.
Kwa wa...
3 days ago

2 comments:
Pongezi nyingi kwa wimbo huu kuanzia mtunzi mpaka wanakwaya wenyewe. Ujumbe Mzuri sana kuhusu ndoa umesemwa kikamilifu ndani ya huu wimbo. HONGERA SANA MTUNZI WA NYIMBO HII.
Wanakigoma na wanakasulu saluti sana kwenu kiukweli mnajua kuimba na kutunga NYIMBO nzuri zenye ujumbe wa Moja kwa Moja kwa jamii... Mungu awape maisha marefu ya uimbaji. Amen
Post a Comment