Somo la 11: Ningeweza Kufanya Nini Zaidi?
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Isaya 5, Mathayo 21, Warumi 3)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2025, Bruce N. Cameron, J.D.
Kwa w...
22 hours ago
3 comments:
Mimi nawafagili huu wimbo na unakumbusha watu kutambua kuwa maisha ya hapa duniani ni ya muda tu au ni maandalizi ya maisha ya baadae, hivi ni lazima kutamani matarajio yetu.
The hymn is not sang by the famous St. Cecilia choir Arusha based, rather its the Migori choir from Kenya. Anyway I congratulate you for the step and courage you have to begin such a good service,to serve God through modern means of communication.
Siku za mwisho zimekaribia tujiandae kwenda mbinguni kwa kutenda yote yanayompendeza Mungu na kutangaza neno lake duniani pote Nawapongeza wanakwaya kwa kutoa ujumbe wa neno la Mungu kwa njia ya nyimbo.Mdau kinambeu,The Hague The Nertherlands
Post a Comment