Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Saturday, January 3, 2009

BADO KITAMBO KIDOGO - KWAYA YA SDA KURASINI

2 comments:

Anonymous said...

Wasabato mbona mmeanza kupigana vikumbo? Mhando ndiyo kawafanyia nini sasa? Nimeongea na jamaa mmoja Msabato na anasema kwamba ufisadi umejaa katika kanisa lenu na watu wengi hawaridhiki na mambo yanavyoendeshwa. Jirekebisheni vinginevyo mtakung'utwa! Mimi nikija Tanzania nitakwenda kujiunga na kanisa jipya la Mhando ili nitajirike upesi...

Anonymous said...

Ni unabii uliokwisha kutabiriwa.
k
Kumbuka y
YESU ndiye anayetoa utajiri na wala sio Mhando