Kwa tangazo la kifo cha Fanuel Sedekia - mwimbaji mahiri wa injili Tanzania aliyefia Israeli alikokuwa amekwenda kueneza injili bofya hapa. Hapa chini ni baadhi ya nyimbo zake. Mungu amrehemu apumzike salama. Mbegu za wokovu alizozipanda bila shaka zitachanua vizuri na siku moja atafurahia matunda yake mbele za Bwana.
(1) AMETENDA MAAJABU
(2) MOYONI
(3) NANI KAMA WEWE
(4) TUMEKUJA
(5) UPENDO
4 comments:
Sikuwahi kukutana naye wala kumfahamu lakini nyimbo zake zimenivutia sana. Mungu amlaze mahali pema peponi.
MUNGU AKULAZE MAHALI PEMA PEPONI
Upumzike kwa amani Sedekia nyimbo zako zinazidi kutubariki kila siku ni kama bado upo nasi
Tukikazana tutakuona baba sedekia uliifanya kazi ya Mungu kwa uzuri na utakatifu nimejifunza Mengi sana kutoka kwako japo sijawahi kukuona wew ni mwalimu kwangu
ahsante
Post a Comment