Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
3 comments:
Ubarikiwe sana.
Nimekuwa nikitafuta Vid za hii kwaya kwa muda mrefu. Nimefurahi kuona na kusikiliza ujumbe wa Mungu.
Asante sana dada Dinah
i've been looking for songs sung by cvc for quite sometime,but it's a blessing i got to listen to the albums vunja and gusa.mbarikiwe sana
Post a Comment