Somo la 9: Kuiishi Sheria
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Kutoka 21-23)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2025, Bruce N. Cameron, J.D.
Kwa wanaotumia lug...
2 days ago
2 comments:
wimbo ni mzuri sana,, na unatia moyo, ningeomba mwenye blog uniwekee wimbo wa huyu mchungaji ABIUD unaitwa shuka bwana,, na video ya beatrice muhone "kijito cha utakaso" Ningefurahi sana ,
ubarikiwe
NB: mi niko nje , siwezi kupata nyimbo hizo ndio ana nimeomba
Video ya Beatrice Muhone tayari ipo hapa ingawa ni toleo tofauti. Bonyeza Beatrice Muhone kwenye vitambulisho na utaiona. Wimbo wa mchungaji ABIUDI unaoutaka nautafuta sasa hivi na nikiupata nauweka mara moja!
Post a Comment