
Mimi na familia yangu tunapenda kuwatakia nyote Pasaka njema. Tukio hili la kufa na kufufuka kwa Mkombozi wetu Yesu Kristo ndilo mhimili mkuu wa imani ya Kikristo. Hebu na tuutumie muda huu kutafakari japo kidogo upendo Wake na mibaraka Yake isiyo na kikomo kwetu. Nyote muendelee kubarikiwa, mkaishinde misukosuko ya dunia hii pamoja na mitego yake yule mwovu.
1 comment:
Nami na Familia yangu twasema HERI SANA KWA PASAKA.
Post a Comment