Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Wednesday, July 15, 2009

KAZI YA BWANA - BONY MWAITEGE

1 comment:

francoisbaragora1 said...

nilikuwa bado sija sikiliza huu wimbo wa kazi ya bwana. na siku moja nika usikiliza. ulinijenga kiloho sana.na nilikuwa nimeludi nyuma. na nilipo sikiliza wimbo huo nika tambua yakuwa ina bidi nimtumikie bwana.na tangu hapo nilimtumikia Bwana mpaka leo. na nasema asante sana ndugu bony mwaitege kwa huduma yako. nyimbo zako ninzuli sana na tena tuna zipenda sana. na tuna penda kuzisikiliza. asante na Mungu akubaliki amen