(1) ASUBUHI IMEPITA
(2) UTUME ROHO WAKO
(3) NI NANI KAMA WEWE
(4) YESU WANGU NAMSIFU
(5) NAMPENDA YESU
(6) TAZAMA NIMESIMAMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
2 comments:
mbona ktk hii blogger nimeona waimbaji karibu wote lakini sijamwona neema mushi? inakwaje? ninauliza tu wandugu kwania njema kabisa kwani napenda sana nyimbo za neema mushi.
Bofya Neema Mushi au Neema Mwaipopo kwenye vitambulisho (labels) upande wa kulia
Post a Comment