Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Wednesday, June 17, 2009

HEY HALELUYA - KWAYA YA MAMAJUSI MOSHI

MAHUBIRI - ASKOFU YOHANA MASINGA

MAHUBIRI - ASKOFU YOHANA MASINGA

OMULIRO (MOTO) - JUDITH BABIRYE

Tafsiri ya juu juu tu ya wimbo huu mzuri wa Judith Babirye (kwa wanaofahamu Kiganda tupatieni tafsiri nzuri)

...Ni Mungu ambaye hujibu kwa moto
Tunatafuta kuuona utukufu Wake
Eliya Mtume alikuwa milimani
Na Mungu aliingilia kati
Katikati ya shida
Unapomwita Mungu
Yeye hujibu kwa moto (Omuliro)
Acheni moto uteketeze mapepo, umasikini na magonjwa
Moto wa Yesu utatuao matatizo ya maisha....

SIKU ZOTE - JUDITH BABIRYE

UYINGCWELE - REBECCA MALOPE

ZIJUKIRA MUKAMA - JUDITH BABIRYE (LIVE IN MARYLAND, USA)



Video ya wimbo huu hii hapa

WALIOLEMEWA

MAHUBIRI, USHUHUDA NA MAOMBEZI - KANISA NA MWANZA REVIVAL

PONA NINI - FRERE PATRICE

NITAKUHIMIDI

SINA HOFU - ROSEMARY M. NJAGE

BWANA UNAWEZA - KWAYA YA MTAKATIFU CECILIA ARUSHA

NUHU - KWAYA YA SDA KINONDONI