- Nyimbo hizi za kwaya ya Vision Gospel Singers Tunduma zimeletwa na mpiganaji wa Bwana Jackson Mbogela wa Sauti ya Nyika. Asante sana mpendwa Jackson. Hebu Mungu na Akubariki unapovipigana vita vya Bwana. Nitazitundika zilizobaki baadaye.
Somo la 5: Imani Pale Ionekanapo Kutowezekana
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(2 Timotheo 3, 2 Petro 1, 2 Wakorintho 4, Waefeso 2)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2024, Bruc...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment