Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Tuesday, April 13, 2010

KATEBEBE - KWAYA YA MOUNT SINAI (ZAMBIA)

Kama unafahamu lugha yo yote ya Kibantu, kuna uwezekano mkubwa kwamba utaweza kufahamu maneno machache katika wimbo huu mzuri kutoka Zambia. Ni mmojawapo wa nyimbo nzuri sana zilizoimbwa kwa kutumia lugha ya Kiafrika huku zikichanganya utamaduni wetu wenyewe katika kueneza injili. Nyimbo za aina hii zina ukaribu fulani na mimi huwa zinanivutia na kunibariki sana!!!
*************

Umweo wandi na bika muli Yesu uyu
Ubwi kalo bonse bube kuli Yesu uyu
Na matontokanyo yonse kuli yesu uyu
Pantu yesu ali kwata amaka pali ine
Elibwe lyandi ya sansuka
Emwine wa bumi na menshi
Kape, kape kabilihe kalafya milalo

Uyu yesu alikwacha mpaka pali ine
Elimba yandi yasa nsuka
Emwine wangu nina mpeshi
Kape, kape kabilihe kalafya milalo

Naba lelo kan kutashe

Katebebe, Shimu itwaka kakalinyiwe Katebebe 2

Wewa mubilo mulopo kule mpanda,
Kabebe kabebe, wewa kumulu
Shimu ichichiwe inde vyonse
Naba lelo kanshanye  
=================
Tafsiri ya juu juu....

My soul, I surrender to Jesus.
My entire life I surrender to Jesus
All my thoughts, I surrender to Jesus
..because Jesus rules over my heart, He is elevated rock,
He owns the _ the waters, and the gentle worker of miracles (2)

Chorus:

Now, today let me thank You, Master,
You who is called on in the worst trouble,
You who created the heavens without a ladder (tools)
etc, etc

 

1 comment:

Wingi said...

Nashukuru sana kwa niaba ya wasomaji na wasikilizaji wa nyimbo za Injili katika blog hii. Nashukuru kwa kuweza maneno ya wimbo huu wa Katebebe. Labda kwa kuboresha tu maneno: (Uyu yesu alikwacha mpaka pali ine) haya yangesomeka (Uyu yesu alikwata amaka pali ine).

Ubarikiwe sana kwa kazi nzuri.