MAHUBIRI YA MZEE WA UPAKO NA MTUME/NABII JOSEPHAT MWINGIRA

Mahubiri ya Mzee wa Upako

Mahubiri ya Mtume na Nabii Josephat Mwingira

Friday, April 9, 2010

ONYO - KUTOKA STRICTLY GOSPEL

Ole

Ole wenu nyie watumishi wa Mungu, Mungu Amewapaka mafuta mumtumikie, Ameweka Neno lake ndani yenu, lakini nyie msimamapo mnachanganya na maneno yenu, mnapenda sifa na kujisifu, mnatafuta kujulikana na kuonekana kwa watu kwamba hakuna zaidi kwa sababu ya ishara mnazoonesha, mmetafuta nguvu za ziada kwa waganga wa kienyeji na wanajimu. Wahubiri Ole wenu, Waimbaji ole wenu na nyie wachungaji ole! Tubuni la sivyo Mungu Atawaondoa kwa aibu!

 Chanzo:  Strictly Gospel

No comments: