Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Thursday, September 9, 2010

WAPO SHAMBANI MWA BWANA WAKITAFUTA MAVUNO!!!


Ni Christina Shusho na Geraldine Oduor katika huduma vijijini. Mungu Aendelee kuwabariki katika huduma yenu. Ni wazi kwamba mnatumia talanta zenu vizuri!

1 comment:

Anonymous said...

Thanks Mtumishi!
Tunabarikiwa.
Bwana Mungu Akubariki na Kukulinda