Kuna mtu anayemfahamu huyu mchungaji? Ni nani na anapatikana wapi? Ujumbe mkali sana huu kwani anagusa kwenye kiini kuhusu tatizo kubwa katika makanisa mengi siku hizi - "ukristo wa kununua"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
2 comments:
Mungu awe nawe nakukumbuka tulikuwa wote bweni la kingo IDM Mzumbe,nakushukuru kwa ujumbe wako mzuri unaogusa kila Mtu na sasa uamuzi ni wako msikilizaji.Mdau kinambeu The Hague Nertherlands
Nashukuru sana ka kazi nzuri hii ya kukusanya hizi nyimbo ndugu yangu. Kweli huu wimbo ni mzuri sana kwa kutukumbusha sio kanisa, mchunga wala familia kinachotupa wakovu ila ni kwasisi wenyewe kumpekea YESU kama bwana na mokozi wa maisha yetu.
Huyu mchungaji nadhani ni wa kanisa la Lulu Magomoni naweza kuwa nimekosea.
Ubarikiwe sana. Mdau West Lafayette, Indiana, USA
Post a Comment