Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
2 comments:
NAAM NINAYE MCHUNGAJI MWEMA.
Mbarikiwe sana waimbaji kweli nabarikiwa sana na uimbaji wenu naomba tuwasiliane ili niwezekupata cd zenu. Naitwa Amani Minja niko Arusha. Bwana awabariki sana.
WIMBO MOYO WANGU TULIA NAO UNANIGUSA SANA.Maranyingi ninapousikiliza najikuta nikimtafakari Mungu kwa namna ya pekee sana tafadhalini waimbaji naomba tu kupata CD YENU KAMA KUNAMUIMBAJI YEYOTE WA KWAYA HII MARA AONAPO COMMENTS ZANGU NAOMBA AWASILIANE NAMI KWA NAMBA 0752075930.
Post a Comment