MAHUBIRI YA MZEE WA UPAKO NA MTUME/NABII JOSEPHAT MWINGIRA

Mahubiri ya Mzee wa Upako

Mahubiri ya Mtume na Nabii Josephat Mwingira

Wednesday, December 24, 2008

NIPE UVUMILIVU - ROSE MUHANDO

2 comments:

Anonymous said...

Ndiyo dada Rose, umepitia mengi lakini yote umeyashinda na sasa unang'ara katika mikono ya Yesu. Kwa wanawake wote wanaoteswa na kutengwa na jamaa na dunia tambueni kwamba kuna Mungu awezaye yote...

Anonymous said...

Huwa nalia nikiangalia video hii na jinsi mfumo dume usivyo na huruma. Nilipatwa naa mambo kama haya kwa muwe wangu wa kwanza lakini nilisimama imara na sasa niko salama na thabiti katika mikono ya Yesu. Nyimbo hizi zinatenda maajabu!!!