Somo la 13: Kumngoja Bwana
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Ufunuo 20, Zaburi 27, 92, 126, na Mathayo 12)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2024, Bruce N. C...
1 week ago
1 comment:
Sauti nyororo na nyimbo nzuri ajabu! Nimeusikiliza huu wimbo leo asubuhi nzima. Asante kwa kutukusanyia nyimbo hizi mahali pamoja. Kamwe usifikiri kwamba unafanya kazi ya bure. Huwezi jua si ajabu roho wa Mungu akatenda maajabu yake na mtu akafufuliwa kiroho kutokana na nyimbo hizi. Mungu akubariki daima!
Post a Comment