Ninapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuruni nyote kwa kuiunga mkono blogu hii kwa muda huu mfupi ambao imekuwa hai. Ninawatakieni Sikukuu njema ya Krisimasi na Mwaka mpya (2009) wenye heri. Mungu aendelee kutubariki na kutuongoza. Ninatumaini kwamba mwaka ujao (2009) utakuwa umejaa mema kwetu sote - kimwili na kiroho. AMINA!
Somo la 4: Mungu ni Mwenye Shauku na Huruma
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Zaburi 103, Hosea 9, 1 Wakorintho 13)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2025, Bruce N. Cameron, ...
4 days ago
No comments:
Post a Comment