Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
5 comments:
Inatia moyo kama nini kuona vijana kama wewe wakifanya mambo ya maana na maisha yao. Dini ni nzuri regardless kama inamwezesha mtu kwenda mbinguni ama la! Safi sana kijana! You made my day. Mdau Italy
Inatoa mafundisho kwa kizazi kilichopo kwani neno la Mungu linaenezwa kwa njia mbalimbali ikiwepo nyimbo Onesmo endelea kusambaza injili kwa njia ya nyimbo.Mdau Kinambeu,The Hague Netherlands
upendo wa yesu ni mkubwa.when i download your son on internate i fell blessed. keep it up.God bless.
asante kaka kwa wimbo huu umenibariki sna, ni kweli upendo wa Yesu haufananishwi na kitu chochote Mungu akubariki cn.
Samahani kakangu kuna nyimbo zako nyingine nyingi uliimba, lakini hazipo katika mtandao kulikoni?
eg mifupa mikavu
upendo wa yesu ni mkubwa sana kwamaana ali kuja duniani kutukomboa mimi na wewe. asante uli imba nyimbo nzuli napenda sana kuangalia ii nyimbo kwenye computer. na inanijenga sana kila siku nikiangalia nyimbi hii. ok by
kwa jina naitwa FRANCOIS BARAGORA ata mimi pia ni mtumishi wa mungu.
niko huku U.S.A
Post a Comment