Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Wednesday, January 7, 2009

THE BABY - BLAKE SHELTON

Mbali na kunifanya nitafakari kusudi na lengo hasa la maisha yetu hapa duniani, wimbo huu hunifanya nimkumbuke sana mama yangu na mchango wake mkubwa katika maisha yangu. Hebu tuchukue angalau dakika moja kuwakumbuka, kuwashukuru na kuwaombea mama zetu kwa kazi nzito waliyotufanyia tangu utoto wetu mpaka wakati huu. Wakishaondoka wameondoka. Tusije tukabakia na majuto, kujilaumu na kulia kama "a baby"

No comments: