Wimbo wenye maudhui mazito tena yaliyowasilishwa kwa njia yenye kugusa na kuhangaisha moyo...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
2 comments:
Nimemwaga machozi. Pengine huu ndio wimbo ulioimbwa na kuigizwa vizuri kabisa kuliko zote. Mungu ambariki huyu mwimbaji na wewe uliyeamua kuzikusanya hizi nyimbo together. Mimi husikiliza pamoja na wanangu kila jioni baada ya kula hapa Ujerumani. Tubarikiwe sote
nimeguswa sana na huu wimbo,nilijikuta naabudu pamoja naye!!
na mazingira na namna ya video yake iko kwendana na message ya wimbo.
mungu awaguse waimbaji waimbe kwa utukufu wa mungu na si kwa kujitukuza wao.huyu dada ni mfano.
Moderator tunaomba utusaidie tupate nyimbo zake na za wengine hasa za kuabudu.
mungu awabariki
Post a Comment