- Nilitazama hii programu katika History channel na nilivutiwa na utafiti wa miaka mingi wa wanasayansi hawa. Kwa kutumia mbinu mbalimbali za kisayansi, waliweza kuonyesha kwamba pengine Yesu hakuwa yule mzungu mrefu kijana mwenye sura na nywele ndefu tuliyemzoea. Wanaamini kwamba Yesu alionekana kama picha hii inavyoonyesha. Kwa habari zaidi bonyeza HAPA
Somo la 3: Kumpendeza Mungu
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Waefeso 5, 1 Petro 5, Zaburi 149, Marko 9)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2025, Bruce N. Came...
3 days ago
2 comments:
Sayansi ikishaingia kwenye dini nakaa pembeni. Maana hapo hapatakuwa na suluhisho moja.
Asante kwa taarifa Prof.
Kwangu mimi sura doesn't matter...kubwa ni "nini kilimleta!" Ni sawa na ku argue tarehe halisi ya kuzaliwa kwa Yesu! Kwangu it doesn't matter either....kubwa ni kwamba KWELI ALIZALIWA, na alifanya kilichomfanya azaliwe!
Baraka kwenu!!!
Post a Comment