Ushuhuda wenye kugusa moyo wa mtumishi wa Mungu Mchungaji Abiudi Misholi. Kuna anayejua huyu mchungaji anapatikana wapi? Ninataka kuwasiliana naye.
Somo la 7: Tatizo la Wokovu
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Mwanzo 1-4, Ayubu 1 & 23, Warumi 8)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2025, Bruce N. Cameron, J....
6 days ago
2 comments:
Mchungaji anaelezea historia yake na imenigusa sana. Siyo kama nyimbo zingine ambazo unashindwa kuelewa kama lengo ni kujionyesha utajiri hawa waimbaji walionao au ni kumtumikia Mungu. Ujumbe katika wimbo huu unapenya kabisa na kugusa moyo kuona mtu akiAyubishwa na badala ya kukata tamaa akasonga mbele katika imani. Matondo, ukipata contacts za huyu mchungaji itundike mtandaoni. I would like to send something to his church popote lilipo. I am touched!
uliza wapo radio:
http://strictlygospel.wordpress.com/2008/02/22/abiud-mishori/
http://wapotz.org/waporadio/yaliotokea/08_04_09.html
http://waporadio.wapotz.org/
Post a Comment