MAHUBIRI YA MZEE WA UPAKO NA MTUME/NABII JOSEPHAT MWINGIRA

Mahubiri ya Mzee wa Upako

Mahubiri ya Mtume na Nabii Josephat Mwingira

Tuesday, April 21, 2009

MIMI NDIMI NJIA - EMACHICHI

video

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Amina. Anaimba kwa utaratibu kiasi kwamba mtu unafurahia kama upo mbinguni. Asante

Anonymous said...

Bahati mbaya ni kwamba kijana huyu alifariki mwaka 1996. Inaonekana hawa waimbaji wa nyimbo Bwana anawaita nyumbani mapema sana - Angela Chibalonza, Emachichi, Fanuel Sedekia...Wapumzike kwa amani!

maria elovi said...

Kijana emachichi ananibariki sana katika nyimbo zake zinaniweka rohoni sana wakati nikiziimba, sasa naomba kuelimishwa nasikia huyu kijana alikuwa secular singer ina maana gani?naomba kuelimshwa pia kifo chake kilisababishwa na nini na si muda mrefu nimesikia kuwa ametangulia mbele ya haki. Please yeyote anayejua anieleweshe pamoja na historia ya maisha yake kwa ujumla na Mungu awabariki.

Ni mimi
Maria Elovi