Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
2 comments:
Asante sana kwa wimbo huu. Maana mwaka juzi katika kwaya yetu tulikuwa tumejifunza kuimba huu wimbo ila wanakwaya wenzangu waswidi waliuona mgumu sana.Asante kwa kunikumbusha
Asante dada Yasinta. Baada ya kuushindwa huu mliimba wimbo gani? Umezirekodi hizo nyimbo za kwaya? Kama unazo lete tuziweke hapa tufaidi injili kutoka huko. Ubarikiwe wewe pamoja na familia yako!
Post a Comment