(1) CHRISTINA SHUSHO
(2) BAHATI BUKUKU
(3) BONY MWAITEGE NA MKEWE
(4) BAHATI BUKUKU, ROSE MUHANDO NA PEACE MULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
5 comments:
Christina Shusho dah!
EWE ANONY. HAPO JUU. KIMBIA SASA HIVI UKASALI ILI USAMEHEWE. NAJUA UNACHOWAZA!
Beautiful ladies with beautiful voices !
christina shusho ubarikiwe na MUNGU muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo kwani nyimbo zako zinatubariki wengi.
Samahani sana ikiwa nitakwaza! Peace MULU tafadhali jaribu kujisitiri. (Kifua...).
Samahani tena. Peace alipofika nchini Congo mjini Butembo, alikuwa na dadake aitwaye Faith)ambaye alivaa mini wakati wa kuimba jukwwaani.
Jinsi ili kuwa mkutano wa maombi ilibidi akinamama waje kumfunika mapaja yake hadharani, kwenye jukwaa.(Tahadhari kwenu waimbaji akinadada na mama,angalieni nguo zenu msije mkaharibu ujumbe. Mtum.
Post a Comment