(1) UNALIA NINI?
(2) TUTAONDOKA
(3) SIFA ZA BWANA
(4) BWANA YESU ANAKUPENDA
(5) FUNGUA MLANGO
(6) BABA WA MBINGUNI
(7) TWAKUSHUKURU
(8) KILA JAMBO
(9) KWA NINI?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
3 comments:
Nashukulu kwa huduma yenu. nyimbo zenu tuna zipenda sana na tena sana. na nina weza nikasema mungu ambariki aliye zikusanya nyimbo hizi.
Nimeipenda sana nyimbo yenu, natamani kui download inakataa
Habar jaman nazipenda hizinyimbo natamani kudowload zinakataa
Post a Comment