Thursday, October 22, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Pia kama una video ambayo unataka tuiweke basi tutumie kupitia profesamatondo@gmail.com. Sisi hatuna video zo zote na kama unataka tuweke video unayoitaka basi tuonyeshe iliko katika mtandao (mf. Youtube). Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili.
1 comments:
Nilikuwa na baba kama huyu na hapa nimeumia kweli. Watu kama hawa wanahitaji msaada wa maombi na kila liwezekanalo. Mara nyingi sana as a teenage girl I thought of killing myself lakini nilipompata Yesu kila kitu kilikwenda salama. Yesu ni BWANA na anayebisha ni wazi hajaona matendo yake LIVE!
Post a Comment