- Kipaji cha pekee na sauti nzuri ajabu! Mungu Aendelee kukutumia. Amen!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
1 comment:
Betty Bayo, Eunice Njeri and this boy in the video are PURE RAW TALENT. If they have a good manager; and if they are truly singing for God's sake, they will leave a mark on this Earth. They are supposed to be International stars in Gospel Music. God Bless all of them. Nyimbo nzuri MNO na sauti nzuri ambazo sijawahi sikia. Siyo tu makelele kama ya waimbaji wengi wa Tanzania.
Post a Comment