- Kwangu mimi huu ndio wimbo bora kabisa ambao Mchungaji Munishi amewahi kuimba. Japo ni wimbo wa zamani, unatabiri na kuelezea kwa uwazi kabisa hali ilivyo katika baadhi ya makanisa yanayochipuka kila kukicha. Mungu Atusaidie ili tuweze kuujua ukweli wake kabla hatujachelewa mno!
Somo la 3: Nuru Hung’aa Gizani
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Yohana 14, Kumbukumbu la Torati 4, Matendo 20, Luka 9)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2024, B...
4 days ago
2 comments:
Hapo umesema ukweli.Munishi ni mwimbaji original na maneno yake sio ya compromise. He calls a spade a spade and not a spoon !
Truly even me i really admire this song,i wish i could be the one who sing this song..coz its true some wachungaji wanawaogopa wenye pesa kwenye nyumba za ibada.Yani Munisi kaimba ukweli mtupu...GO BLESS HIM..
Post a Comment