Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Wednesday, January 27, 2010

WIMBO BORA KABISA WA MCHUNGAJI MUNISHI

  • Kwangu mimi huu ndio wimbo bora kabisa ambao Mchungaji Munishi amewahi kuimba. Japo ni wimbo wa zamani, unatabiri na kuelezea kwa uwazi kabisa hali ilivyo katika baadhi ya makanisa yanayochipuka kila kukicha. Mungu Atusaidie ili tuweze kuujua ukweli wake kabla hatujachelewa mno!

2 comments:

Anonymous said...

Hapo umesema ukweli.Munishi ni mwimbaji original na maneno yake sio ya compromise. He calls a spade a spade and not a spoon !

innocent said...

Truly even me i really admire this song,i wish i could be the one who sing this song..coz its true some wachungaji wanawaogopa wenye pesa kwenye nyumba za ibada.Yani Munisi kaimba ukweli mtupu...GO BLESS HIM..