Somo la 3: Mwanzo Mbaya
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Kutoka 5-7)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2025, Bruce N. Cameron, J.D.
Kwa wanaotumia lugha...
1 hour ago
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
1 comment:
naombeni sana mniwekee nyimbo zote za EPHRAIM MWANSASU nyimbo zote alizoimba zamani na sasa hivi pls huyu jamaa anaimba siyo mchezo nyimbo zake zinanigusa sana nimekuwa nikizitafuta siku nyingi sana bila mafanikio leo ndio nimepata nyimbo zake kama mbili tu naombeni jamani mnaohusika mniwekee nyimbo zake zote.MBARIKIWE NA BWANA MNAFANYA KAZI NZURI YA BWANA YA KUENEZA NENO LAKE KWA NJIA YA NYIMBO.
Post a Comment