Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
3 comments:
jamani dunia imekwisha inatubidi tubadilike,mpÄka tunaambiwa tuvue kiatu,tuache dhambi
Woow wimbo huu ni mahubiri kabisa kweli lazima tuvuie viatu vinavyotuzuia kuwepo kwenye uwepo wa Mungu! Nitashare wimbo huu na marafiki zangu. Munug akubariki mtumishi kwa kuweka wimbo huu!!
Dada Priscillah;
Asante sana. Kila mmoja wetu ana kiatu chake kinachomnyima nafasi ya kumsogelea Mungu Mtakatifu sawasawa. Mungu Atusaidie tuvivue viatu hivi ambavyo kama tuking'ang'ana navyo siku moja vitatupeleka motoni.
Ubarikiwe!!!
Post a Comment