MAHUBIRI YA MZEE WA UPAKO NA MTUME/NABII JOSEPHAT MWINGIRA

Mahubiri ya Mzee wa Upako

Mahubiri ya Mtume na Nabii Josephat Mwingira

Sunday, July 3, 2011

Harusi ni Furaha Sana - Kiza Blessing

Huyu ni muimbaji mpya kabisa wa nyimbo za injili! Kwa majina anajulikana kwa KIZA BLESSING yupo Dar Es Salaam, East Africa. Hakika nyimbo zake zinabariki sana tena sana maana zimejaa upako wa Roho Mtakatifu. Kazi yake ipo tayari na inasubilia tu kukufikia mahali ulipo. Hivyo kaa mkao wa kula na utegemee muujiza unaposikiliza albamu yake yenye nyimbo nane (Maelezo Kutoka You Tube)

 

No comments: