MAHUBIRI YA MZEE WA UPAKO NA MTUME/NABII JOSEPHAT MWINGIRA

Mahubiri ya Mzee wa Upako

Mahubiri ya Mtume na Nabii Josephat Mwingira

Saturday, August 20, 2011

MANUKATO - FANUEL SEDEKIA

Hizi ni baadhi ya nyimbo zilizomo katika CD ya Marehemu Fanuel Sedekia iitwayo Manukato. CD hii ilitolewa baada ya yeye kufariki na hapa unaweza kuiona familia na wapendwa wake wakifurahia maisha yake na kumtukuza Mungu. Ni picha na nyimbo zenye kugusa moyo sana! 

Kitu kidogo tunachoweza kufanya hapa ili kuiunga mkono familia ya Marehemu ni kuinunua CD hii kwa wingi. Mimi niko tayari kununua CD nyingi na kuwagawia  ndugu na marafiki kama zawadi wakati wa Krismasi mwaka huu. Kwa hiyo kama kuna mtu ambaye anajua CD hii inakoweza kuagizwa basi atujulishe hapa. 

Kama mwenyewe alivyosema, kazi ya Mungu haina makosa; na kila jambo na majira yake. Na kifo ndiyo njia yetu sote tulioumbwa. Hebu na Apumzike kwa amani!!!

(1) Nishike Mkono 


(2) Manukato(3) Nitaimba Halleluyah


(4) Jina Yesu


(5) Ni Neema

No comments: