Pasipo Maono - Rose Muhando
Sunday, March 10, 2013
Nchi Yetu Inapita Katika Misukosuko ya Udini, Ubabe, Ukabila, Ujimbo, Ufisadi, Uhasama wa Kitabaka, Mauaji, Utapeli (Ukiwemo wa Kiroho), Ushirikina na Maovu ya Kila Aina. Amani, Upendo, Utanzania na Mshikamano Tulivyokuwa Tumevizoea Sasa Vinatoweka kwa Kasi. Rose Muhando Katika Wimbo Huu Anauliza: Tuna Maono? Tunajua Tunakokwenda? Viongozi Wetu Wanajua? Tutafakari na Kuiombea Sana Tanzania Yetu Tuipendayo !!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment