Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
4 comments:
your 100% right.muathirika wa ndoa anakufa kwa kujuta.kwa sababu alikwisha APA kwa shida na raha.nadhani umefikiria sana kutunga wimbo ambao labda utawabadili wenye tabia mbaya kwa wenzi wao.GOOD JOB BAHATI. keep it up.
U.S.A
Kumbe hata wewe dada Bahati ni Mwathirika wa ndoa tu. Mumeo naona katia mimba kitoto cha watu. Pole sana: Tazama http://1.bp.blogspot.com/_EdEOMKDVdl4/SV3Cj6GCtjI/AAAAAAAAY3M/gpXWLKVXrzY/s1600-h/100_7701.JPG
na ipenda sna iyi nyimbo lakini nimeangalia kwajirani sasa naomba kama kuna ewezekano tuwe na mawasiliamo. kati yangu na nyinyi.kuhusu izyi kanda.
umefanya vizuri sana bahati bukuku kwa kutunga iinyimbo mwathirika wa ndoa kwa maana huku kwetu tukiangalia nyimbo iyo ina tujenga sana tena sana.
Post a Comment