MAHUBIRI YA MZEE WA UPAKO NA MTUME/NABII JOSEPHAT MWINGIRA

Mahubiri ya Mzee wa Upako

Mahubiri ya Mtume na Nabii Josephat Mwingira

Friday, May 8, 2009

YAHWEH UHIMIDIWE - ANGELA CHIBALONZA

6 comments:

Anonymous said...

Nimeguswa sana na wimbo huu. Asante

Mzee wa Changamoto said...

Kutenda kazi na kuitunza kwa hakika ni NEEMA kwa vizazi vijavyo. Kuisambaza ni shughuli na BARAKA nyingine kwa wale walio katika hitaji la kuipata. Kwa hakika alivyoimba amegusa wengi, na kwa kuiweka kazi yake kwenye kumbukumbu ya Video kutainufaisha jamii na kizazi kijacho na kwa Wewe Mwalimu kuisambaza kazi hii ni BARAKA kwa wale ambao hawakuwa na bado hawana namna ya kuipata kirahisi japo wanaihitaji.
Baraka kwako

Anonymous said...

Wimbo mzuri kweli na wenye ujumbe mzito. Bwana apewe sifa!

Koku said...

Nawashukuru sana kwa kunipatia nafasi hii. Binafsi nyimbo zote za aliyekuwa mpendwa wetu Angela M. Chibalonza zinanigusa sana na mara nyingi nikiwasha CD yake huwa najihisi kuwa na AMANI Moyoni mwangu. Tuzidi kumuombea kwa Mungu azidi kupata pumziko la Amani milele. A M I N A

Anonymous said...

I listened to this song while traveling upcountry during the weekend and it has realy touched my heart, God bless you Angela that the life you lead when you were alive sets a testimony for all of us who are alive today

Anonymous said...

She was blessed. Let her rest in peace