MAHUBIRI YA MZEE WA UPAKO NA MTUME/NABII JOSEPHAT MWINGIRA

Mahubiri ya Mzee wa Upako

Mahubiri ya Mtume na Nabii Josephat Mwingira

Friday, May 8, 2009

MKE MWEMA - BONY MWAITEGE

Kwa vijana ambao hamjaoa, hebu sikilizeni ujumbe huu wa Bony Mwaitege kwa makini. Kwa habari zaidi kuhusu Bon Mwaitege (bofya hapa)

1 comment:

Anonymous said...

Wimbo mzuri sana na ujumbe moto moto hasa kwa vijana ambao hawajaoa. Hata hivyo kwangu mimi inaonekana kama vile anachohitaji zaidi ni mfanyakazi wa ndani kwani pengine akipata mtu wa kumsaidia hizo kazi za ndani zilizomshinda basi mambo yake yatakuwa sawa. Sijaona sababu hasa ni kwa nini anahitaji mke mbali na hizo kazi za ndani anazozilalamikia. Wengine mnasemaje?