Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Sunday, December 21, 2008

YESU NAKUPENDA - UPENDO NKONE

4 comments:

Anonymous said...

Asante mwana blog huu wimbo unanigusa sana! mungu akubariki,mana wengine tuko mbali na nyumbani tunashindwa kuabudu ipasavyo ila kwa nyimbo hizi uwepo wa mungu unatuzunguka.nakuomba kama unaweza kuweka hata mahubiri ya mwakasege kwa mfano au wachungaji wengine.

Yohana Limbe Juma (Mtumishi) said...

Nitaona kama nitaweza kuyapata hayo mahubiri ya wachungaji mbalimbali. Nikiyapata basi nitayaweka. Krismasi njema na mwaka mpya (2009) wenye heri

fa said...

iyi wimbo yako upendo nkone nina ipena sana niki iangalia. ina nisaidia katika kiroho na kimwili. mungu akubariki kwa kutunza nyimbo hizi. napenda sana nyimbo zakozote.

fa said...

na jingine nilikuwa nimesa hau ni yakumba nakutakia mwaka mpya (2010) mwema. na uwe mwa ka mzuri kwako asante. na mungu akubariki.