Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
2 comments:
jamani mimi ningependa kumpongeza kaka anaeitwa Tom Mwakalinga, nimemuona kwenye TV hapa uk chanel inayoitwa GODS TV. Umeimba vizuri sana sikutegemea kwamba wewe ni mtanzania endelea kuimba Gospel music usije ukapata tamaa na kuanza kimba nyimbo zisizo mtukuza MUNGU. Hongera sana kwa kutuwakilisha watanzania kwenye nchi ya ugeni.
Beautiful song "Najua" you can translate to Brazilian Portuguese?
and send the email acrolim9@hotmail.com
God bless
Post a Comment