(1) UTANGULIZI
(2) BWANA YESU
(3) NAJUA
(4) ONE MORE TIME
(5) UMENIWEZA
(6) NAINUA
(7) ANABADILISHA (with BETTY BAYO)
(8) JESUS I BELIEVE
(9) NAMSHUKURU BWANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
2 comments:
Hii video ya mwisho (NAMSHUKURU BWANA) at 0.22 sec huyu mzee anaweka sigara mdomoni au ni macho yangu tu?
Kama anavuta sigara basi mie nimechanganyikiwa na hii itazidi tu kuimarisha notion yangu kwamba uimbaji huu wa nyimbo za Injili UMEVAMIWA na watu wanaotafuta umaarufu na utajiri....It has nothing to do with worshiping the LORD katika HAKI NA UKWELI

Post a Comment