Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Friday, May 8, 2009

MUNGU BABA - UPENDO NKONE

2 comments:

Anonymous said...

Ujumbe mkali huu. Jamani tumkumbuke Mungu tukisali na kumshukuru kwa yote aliyotutendea na kutubariki kwa mwaka huu unaomalizika. Wenzetu wengi hawakuiona siku ya leo lakini sisi Mungu ametubariki sana. Mungu ni Mwema na daima apewe sifa.

Anonymous said...

Wimbo unanibariki sana na zaidi ile part ya *nilalapo na niamkapo wema wako baba bado uko kwangu..* nikifika hapo sijui machozi yanatokaga wapi siwezi kuvumilia.Maana wema wa Mungu ni mkuu sana na upendo wake ni wa Ajabu.

Dada upendo Mungu akubariki,mana hizi nyimbo zinachoma kama injili!!